Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,021
- 156,486
wapi papaa mopao IDD Azan kipa ya mikono million?
Mkuu naomba nitofautiane na wewe kwenye business
Suicidal. Mimi baada ya kusoma hapa ndo nakwenda kulinunua
Ni Kweli Balile. Hongereni kwa kuandika habari za kitafiti .Sio wengine wanaandika umbea umbea na kuchafua majina ya watu tu.Keep up the spirit
Naona nawe ni muuza uongo. Unaleta mada, harafu majina huweki. Weka majina hapa sii yapo hadharani. Sasa ambao tupo vijijini huku hatupati hilo gazeti.
Nadhani ni muda sasa hata Picha Zao ziwekwe wazi ili jamii ianze kuwa jua na kuwaepusha waathirika wapya kuingia mkege.
Kuwa weka wazi na hasa Picha zao itasaidia sana!
Haya hapa majina unayo yataka.