kwa yeye kuwa fisadi namba moja kupeleka baraza la mawaziri azimio la kuuza nyumba , hawzi kuwa msafi naye ni fisadi mkubwa ambaye kwa propaganda zako sawa mwone kama nyoka wa makengeza, bali si msafi.kwa mantiki hiyo hawezi kumshughulikia mtu yeyote kwanza ajishughulikie kukiri hadhani kuwa yeye fisadi
Kama alipeleka pendekezo hilo si lilitokana na tume ya wataalam,,,,? Na si lilikuwa pendekezo, kwanini mawazili wasilikatae kama lilikuwa baya? , hapa naona hiyo hoja huwezi kuitumia kumuita fisadi.