KadamaKadama
Member
- Oct 9, 2013
- 86
- 65
Katika hali ya kukamiana kwenye mbio za uraisi Zitto Kabwe akiwa Mkoani Lindi alimshambulia dKT.magufuli kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali, lakini kwa nyakati tofautitofauti serikali ilishatolea majibu kuhusu uuzwaji wa nyumba hizo pasipo binafsi yeye Magufuli kujibu. Ikumbukwe yale yalikuwa maamuzi ya baraza la mawaziri kwa maana ya serikali nzima. Angalia Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Sumaye akitolea ufafanuzi:
Nyongeza ya jibu hapo juu:
Hata Nyerere aliuza nyumba za Serikali na aliwahi kuunda tume ktk hili:
Kutokana na idadi ya watumishi Serikalini kuongezeka kadri ukubwa wa Serikali ulivyokuwa unaongezeka, tatizo la uhaba wa makazi ya kudumu kwa watumishi wa Serikali liliongezeka. Kutokana na changamoto hiyo Serikali iliunda tume mbalimbali zilizotoa ushauri wa kitaalamu kuhusunamna bora ya kupunguza tatizo hili.
Baadhi ya tume hizo ni;
Tume hizo zote zilipendekeza kuwa Serikali iondokane na gharama kubwaya kumiliki na kukarabati nyumba hivyo, kupendekeza kuanzishwa kwachombo kinachojitegemea kitakachoshughulikia suala la ujenzi wa nyumba za kuishi watumishi.
Kwa kutumia Sheria Na. 30 ya mwaka 1997 ya Wakala za Serikali (ExecutiveAgencies Act No. 30/1997), Serikali ilianzisha Wakala wa Majengo yaSerikali tarehe 17 Mei, 2002.

- Tume ya ADU mwaka 1963
- Tume ya Nsekela ya mwaka 1975
- Tume ya Mramba mwaka 1984
Tume hizo zote zilipendekeza kuwa Serikali iondokane na gharama kubwaya kumiliki na kukarabati nyumba hivyo, kupendekeza kuanzishwa kwachombo kinachojitegemea kitakachoshughulikia suala la ujenzi wa nyumba za kuishi watumishi.
Kwa kutumia Sheria Na. 30 ya mwaka 1997 ya Wakala za Serikali (ExecutiveAgencies Act No. 30/1997), Serikali ilianzisha Wakala wa Majengo yaSerikali tarehe 17 Mei, 2002.
Last edited by a moderator: