Magufuli aiteka Manyara na kuizika UKAWA

Magufuli aiteka Manyara na kuizika UKAWA

Mnaweka chumvi sn watu wa ccm...hamna kitu ccm haina watu manyara
 
Hayo mapicha unavyoyatuma ndio ingekuwa mnapata kura kwa kiwango hicho hicho.. Duu mngekuwa ikulu.
 
Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha, wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya leo, ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake.PICHA NA MICHUZI JR-BABATI,MANYARA.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa kijinadi kwa Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.

Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 Mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili awe Rais wa Tanzania wa awamu ya tano.Mkutano huo wa hadhara uliofana kwa kiasi kikubwa ulifanyika mjini humo katika uwanja wa Kwaraha,mkoni Manyara.

Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.

Baadhi ya wakazi wa mji wa Babati wakishangilia jambo wakati mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akijinadi mbele ya Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge,Mbunge wa Babati vijijini Ndugu Jitu Soni ambaye tayari alikwisha kabidhiwa kitabu cha Ilani ya CCM

Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Hanang,Mama Mary Nagu akimuombea kura mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli kwa wakazi wa mji wa Babati mjini jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni,uliofanyika katika uwanja wa kwaraha.

Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Kondoa mapema leo mchana kwenye uwanja wa sabasaba,amapo mkutano wa hadhara wa kampeni ulifanyika.Dkt Magufuli akitokea mkoani Singida kuelekea mkoani Manyara kuendelea na kampeni zake za kusaka Urais,aliwahutubia wakazi wa wilaya ya Chemba,wilaya ya Kondoa,na vitongoji vingene kadhaa na hatimae kuibukia wilayani Babati na kuhutubia mkutano mkubwa katika uwanja wa Kwaraha.
​

12118816_887749144649677_7934887807908940614_n.jpg

Yaani hapa tupo kwenye ng'ome yao... MANYARA OYEEE... HAPA KAZI TU

Yaani niligundua kuwa ofisi zote za wilaya. za CCM ndani ya mkoa hutoa magari na watu kwenda kwenye mkutano wa mgombea sehemu husika. ndiyo maana unaona watu wengi. wengi hapo ni kutoka wilaya na vijiji vya mbali
 
Kwa mwendo huu nyumbu wote m*a*v*i yanagonga boxer, na bado mpaka wajiarishie had Magufuli anaapishwa. Walidhani watu wote wajinga na kukubali genge la mafioso wachukue nchi yetu kwa hadaa!! Magufuli mzalendo wa kweli mwenye nia njema na nchi yetu. Sio akina mbowe ambao wameuza chama kwa tamaa ya fedha, ukiwapa nchi unadhani itakuwaje?
UKAWA ikulu ni BIG NO!! Wasubiri kwenda kunywa juice tu .... kama Magufuli atawakumbuka..!!!
 
Unajua kujifariji 😀
 
Mimi nilikua najiuliza maswali mengi - hivi huu uswahiba uliyo pitiliza mipaka kati ya Mh.Lowassa na Mzee Kinguge unatoka na kitu gani hasa!
Mtu asiye amini uwepo wa MUNGU a.k.a Mpagani wanini huyo? Usipo muamini MUNGU means wewe ni Washetani?..Hivyo usipate shida ndugu..hao jamaa ni members wa SECRET SOCIETY (Freemason)
 
Kuizika ukawa ha ha ha ha ha ha hi hi hi hi aibuuuuuuuuu,utaanzaje kuizika ukawa?poleni sana huku sisi pipoooooopppp
 
Kuizika ukawa ha ha ha ha ha ha hi hi hi hi aibuuuuuuuuu,utaanzaje kuizika ukawa?poleni sana huku sisi pipoooooopppp
UKAWA sasa wanahemea kwa kutumia mashine. In fact wapo ICU.
 
Back
Top Bottom