Magufuli aiteka Manyara na kuizika UKAWA

Magufuli aiteka Manyara na kuizika UKAWA

Kama mabadiliko ni kumtoa Prof. Muhongo bungeni na kumwingiza kingwendu basi tujitathmini upyaaa.

Usisahau Mungu amewapa watu wote hawa pua moja, mdomo mmoja, masikio na macho mawili nk

Mbele za Mwanadamu wanaweza wasiwe sawa lakini Mungu kwake wote tupo sawa. Na anaweza mtumia yeyote
 
Unaongelea nyomi ya kutengenezwa na malori? pole sana
We pimbi elezea hizo picha tatu kwa maneno matatu tu
uploadfromtaptalk1444019188992.jpeguploadfromtaptalk1444019202045.jpeguploadfromtaptalk1444019478924.jpeg
 
Wewe acha ujinga sisi tulikua kwenye mkutano hakuna watu wengi hivyo wengine wametengenezwa baba
 
Magufuli endeleea kuwanyoosha na Mafisadi yashaanza kukimbia. Fisadi papa lishaenda UKAWA na lile babu fisadi lililokua linatunyonya kupitia kituo cha mabasi ubungo lishaenda UKAWA.
 
Kingunge naye eti anataka MABADILIKO. Toka lini Team Lowassa wakataka mabadiliko? Toka wampokonye dili la kukusanya ushuru pale Ubungo terminal Mzee amechanganyikiwa.

Mtu ambae haamini uwepo wa mungu hafai hata kutizamwa tu
 
"I am a politicians. I don’t want to take this…ee...this time as saying so many political words...
Simple and clear is only congregulations (for congratulations) to you…,..To the University Corimb…;... . Corimbia (for Columbia) University for the good assistance we are getting to this hospital...
I am sure (for hope) you will continue to give us a lot of support...
As I have told you …earlier…you have 100% support from this people. They are devoted; they are really committed to make sure that they deliver a good service”
 



Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha, wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya leo, ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake.PICHA NA MICHUZI JR-BABATI,MANYARA.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa kijinadi kwa Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.

Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 Mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili awe Rais wa Tanzania wa awamu ya tano.Mkutano huo wa hadhara uliofana kwa kiasi kikubwa ulifanyika mjini humo katika uwanja wa Kwaraha,mkoni Manyara.

Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.

Baadhi ya wakazi wa mji wa Babati wakishangilia jambo wakati mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akijinadi mbele ya Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.


Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge,Mbunge wa Babati vijijini Ndugu Jitu Soni ambaye tayari alikwisha kabidhiwa kitabu cha Ilani ya CCM

Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.

Mgombea Ubunge wa jimbo la Hanang,Mama Mary Nagu akimuombea kura mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli kwa wakazi wa mji wa Babati mjini jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni,uliofanyika katika uwanja wa kwaraha.

Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.


Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Kondoa mapema leo mchana kwenye uwanja wa sabasaba,amapo mkutano wa hadhara wa kampeni ulifanyika.Dkt Magufuli akitokea mkoani Singida kuelekea mkoani Manyara kuendelea na kampeni zake za kusaka Urais,aliwahutubia wakazi wa wilaya ya Chemba,wilaya ya Kondoa,na vitongoji vingene kadhaa na hatimae kuibukia wilayani Babati na kuhutubia mkutano mkubwa katika uwanja wa Kwaraha.
​

12118816_887749144649677_7934887807908940614_n.jpg


Yaani hapa tupo kwenye ng'ome yao... MANYARA OYEEE... HAPA KAZI TU

Masaki IT centre bana...... Picha gani hata sura wa wananchi hazionekani...

Kazi kweli kweli
 
Endeleeni tu kufanya editing na kudanfanyana mkifikiri muda bado upo.... Bado siku 19 tu
 
Masaki IT centre bana...... Picha gani hata sura wa wananchi hazionekani...

Kazi kweli kweli
Kumbe wewe ni muangalia sura. Ndio maana jamaa yenu yeye anatumia dakika 2 na nyie mnabakia kuangali sura tu.
 
Kingunge naye eti anataka MABADILIKO. Toka lini Team Lowassa wakataka mabadiliko? Toka wampokonye dili la kukusanya ushuru pale Ubungo terminal Mzee amechanganyikiwa.

Mimi nilikua najiuliza maswali mengi - hivi huu uswahiba uliyo pitiliza mipaka kati ya Mh.Lowassa na Mzee Kinguge unatoka na kitu gani hasa!
 
Movie is still going on, Ukawa for Change
 

Attachments

  • 1444055831803.jpg
    1444055831803.jpg
    45.5 KB · Views: 123
Back
Top Bottom