Magufuli Aingizwa Mkenge

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
13346817_1115963485134775_1291839724196966271_n (1).jpg
 
Mpaka rais anaingizwa limkenge
Walinzi wake walikuwa wapi mpaka rais wetu kufanyiwa ukatili wa namna hii?

TUNATAKA MAELEZO.
 
"Benki ya KKKT yakombwa" Muendelezo wa vita dhidi ya Malasusa kutoka kwa Kina Kubenea baada ya kujitoa kambi ya Lowassa na re join na CCM baada ya Bin Khalfan kustaafu!
 
Mwanahalisi kwenye hili la KKKT naona kuna kukomoana.. Ukiangalia kwa makini ni dhahiri hili gazeti la Mwanahalisi linaandika habari mbaya juu ya KKKT. Na inaonekana nia kubwa ni kumchafua kiongozi wao..ninaendelea kuwafuatilia kwa karibu then nitatoa mrejesho wake hapa
 
Hiyo mikataba mikubwa hiyo inatuumiza sana kwa kweli!! Hili nalo sijui nini?
 
Duhh!!rais wetu anatakiwa atulie sana kwa chochote anachokifanya maana ni kama vile wasaidizi wake nao hawamtakii mema!!
 
N
Mwanahalisi kwenye hili la KKKT naona kuna kukomoana.. Ukiangalia kwa makini ni dhahiri hili gazeti la Mwanahalisi linaandika habari mbaya juu ya KKKT. Na inaonekana nia kubwa ni kumchafua kiongozi wao..ninaendelea kuwafuatilia kwa karibu then nitatoa mrejesho wake hapa
Noted.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom