Magufuli ahani msiba wa mwanasiasa mkongwe nchini mzee Peter Kisumo

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573







Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Peter Kisumo aliyefariki dunia jioni ya tarehe 3 Agosti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.



Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi,Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na mjane wa marehemu Pater Kisumo, Hosiana Kisumo nyumbani kwa marehemu mtaa wa Isevya, Upanga, Dar es Salaam.

 
Tangulia mzee KISUMO....nakumbuka uliwahi kusema ccm isiporudi kwa wananchi itapoteza dola..sasa wakati ndio huu
 
Rais Mtalajiwa....ndani ya Presidential Look...matayarisho yashaanza..anaanza mdogo mdogo...R.I.P Kisumo
 
peleka mahakamani kama huwezi keep quite and shut
up!!

Kwa hiyo Chadema haipaswi kwenda kweny Majukwaa kuzungumzia Ufisadi kwa kuwa Mgombea wao Tembo wa Siasa, Mchukia Umaskini wetu kasema kama una Ushahidi wa Ufisadi nenda Mahakamani otherwise keep quite and shut up!
 
Magamba mwaka huu mnalo na limeng'ang'ania kwel kwel hamchomoi haki ya nan nawaambia mnawaza kuiba tuu
 
Rais Mtalajiwa....ndani ya Presidential Look...matayarisho yashaanza..anaanza mdogo mdogo...R.I.P Kisumo

Kuna marais wengi wa watanashati, rais wa fat rais wa wamachinga, rais wa waendesha boda boda unazungumzia rais wa kuogelea ama.
 
Bado hapo anaomba utokee msiba wa msanii wa bongo fleva au bongo movie akauze sura wakati kijijini kwake kuna misiba kibao ambayo anashindwa kuhudhuria kutokana na kubananwa na majukumu ya kiserikali.
 
Mzee wetu ukifikahuko msalimie Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Mweleze hali halisi ya CCM na mahali ilikoifikisha hii nchi!
 
Back
Top Bottom