Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI katika mkutano wake wa kufunga kampeni jana kwa jiji la Dar es salaam alipokelewa kwa shangwe baada ya kumaliza mikutano mingine 6 ndani ya jiji hilo akiifanya sehemu mbalimbali kama vile Kigamboni, Mbagala, Sinza, Ubungo, Kibamba na Kawe (ambayo yotealipokelewa na maelfu kwa maelfu).
Katika mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya jangwani ulihidhuriwa na wananchi malaki kwa malaki, jambo lilioashiria ushindi mkubwa kwa CCM kutokana na muitikio mkubwa wa wanachama na wasio wanachama ambao wanaonesha kumuunga mkono ambapo inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 70% mpaka sasa wamejitokeza kumuunga mkono
Huko jijini Mwanza nako ni nderemo na vifijo kukiwa na taarifa kuwa wananchi wengi wanamsubiri kwa hamu toka juzi na maendeo yote ya jiji hilo wakiwa wamebandika picha zake na bendera za CCM wakijiandaa kumlaki