Magufuli afunika Dar es salaam, Mwanza hapatoshi leo

Magufuli afunika Dar es salaam, Mwanza hapatoshi leo

Hebu tuache ushabiki. Watu hata hawajaingia uwanjani... eti mwanza hapatoshi. Mwaka wa mabadiliko unawapa tabu sanaeeeee......

Mkuu nenda kajionee mwenyewe, mji umezizima. Cha msingi ni kuomba huu uchaguzi upite salama
 
Haha kafunika kwa kubeba wanafunz wa sekondari na kupeleka uda mitaani
 
Nashindwa kuattach picha!
Mbeya Mkapa wanamfanya kazi!
Coaster zinashusha wanafunzi kama mbuzi
 
Makofuli hataisahau DSM na mwanza leo kakosa watu kabisa ccm out
 
Tukisema hapa kazi tuu,tunamaanisha mabadiliko bora ndani ya magufuli.chagua magufuli.ccm oyeeeee
 
Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI katika mkutano wake wa kufunga kampeni jana kwa jiji la Dar es salaam alipokelewa kwa shangwe baada ya kumaliza mikutano mingine 6 ndani ya jiji hilo akiifanya sehemu mbalimbali kama vile Kigamboni, Mbagala, Sinza, Ubungo, Kibamba na Kawe (ambayo yotealipokelewa na maelfu kwa maelfu).

Katika mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya jangwani ulihidhuriwa na wananchi malaki kwa malaki, jambo lilioashiria ushindi mkubwa kwa CCM kutokana na muitikio mkubwa wa wanachama na wasio wanachama ambao wanaonesha kumuunga mkono ambapo inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 70% mpaka sasa wamejitokeza kumuunga mkono

Huko jijini Mwanza nako ni nderemo na vifijo kukiwa na taarifa kuwa wananchi wengi wanamsubiri kwa hamu toka juzi na maendeo yote ya jiji hilo wakiwa wamebandika picha zake na bendera za CCM wakijiandaa kumlaki
Huyu Dr. Anatisha. Ushindi wa mwaka huu haujawahi kutokea. Atashinda kwa zaidi ya asilimia 80
 
tutamnyonyoa kufuri kesho ndani ya box la kura kwani funguo ipo nayo no Lowasssa.
 
Kwa jiji la Mwanza ninalolijua mimi haijawahi kutokea mkutano kama ule. Asipotangazwa Magufuli mshindi si mnatafute duniani yatokee ya Ghalika na Nuhu
 
Back
Top Bottom