Magufuli aendelea kuombea amani ya nchi

Magufuli aendelea kuombea amani ya nchi

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,330
Leo yuko Geita na anahutubia kwa Kisukuma kwenda mbele. Anasema anazungumza Amani kwa sababu vyama vingine vyote havitaleta amani ndio maana hawaongelei amani na hivyo wasipewe kura.
Amesema hataki akiwa rais akitembelea Geita apokelewe na mbunge wa UKAWA.

Ni hotuba ya kiwango cha chini kabisa kusikia ikihutubiwa na mgombea urais. Hoja zinazoongelewa hapa ni nyepesi kuliko hata za wagombea udiwani. I'm sad kama huyu ndiye rais mtarajiwa. Magufuli is seem to be tired mentally and physically!!
 
Nilikuwepo. Kosa kubwa la kimkakati alilo fanya ni kuzungumza peke yake kwa muda mrefu sana, around 90 minutes. He consequently exhausted his concentration,seriously damaging his memory and the quality of the speech. Mwisho mwisho huku he was just taking the role of Joti et al, and all right - minded persons felt pity for him
 
Back
Top Bottom