Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Siku Magufuli atakapoacha kuitaabisha nafsi yake na magumu aliyopitia katika uchaguzi wa 2015 na shughuli pevu kabisa ya uchaguzi wa 2020( kama atafika maana mimi simwoni akishiriki uchaguzi huo), basi anaweza kuiongoza nchi kwa kutenda haki kwa miaka yoyote ambayo Miungu yake itamsaidia kuishi Ikulu ya Magogoni...vinginevyo mimi namwona akijiangamiza mwenyewe mchana kweupe na wala haelekei kujitambua; kifupi hana kipaji wala maarifa ya kuongoza nchi!