Teh si bora magrupu unaweze kumute ukachuunaa! Kuna hizi kadi na msg nina kadi nne zote zinafatana !hivi kwani kufanya harusi hadi uchangiwee?? Eboh! Yani mtu huna hata kagari ka mil 5 teh unataka harusi ya mil 7 mfyuu! Si utumwa huu?! We unataka kuoa mwakani anza kuweka vijisenti vyako waambie ndugu zako wakuchangie alika watu kulingana na bajeti siyo kusumbuana kwe cm ka deni!lnchi yenyewe ishakuwa ngumu hii tutaonana wabaya!oohoh! Loh!
Achana nayo simple!Heeeee!
Simu yangu mpaka sasa ina magrupu ka 8 ya harusi. Tena kwa mbwembwe wengine wanadai pledge ianzie 250,000 mara 300,000 mara 150,000. Heee, jamani, na huu uchumi uliobanwa na JPM bado nitoe milaki kila grupu? Na bado mnaniadd bila kunambia????
Hii kitu inakera aisee, TRA anzisheni kodi kwenye hizi harusi na grupu za whatsapp, tena watoe na lisiti la sivyo hiyo miaka 3 jela iwahusu. Mi harusi yangu hakuna michango, just naenda church namaliza ndoa kisha niliowaalika home watakuja na kula na kunywa kitakachopatikana!!!
inaonyesha umekereka sana. siku hizi kuna urafiki wa harusi. mtu anakutafuta akiwa na harusi tu.Teh si bora magrupu unaweze kumute ukachuunaa! Kuna hizi kadi na msg nina kadi nne zote zinafatana !hivi kwani kufanya harusi hadi uchangiwee?? Eboh! Yani mtu huna hata kagari ka mil 5 teh unataka harusi ya mil 7 mfyuu! Si utumwa huu?! We unataka kuoa mwakani anza kuweka vijisenti vyako waambie ndugu zako wakuchangie alika watu kulingana na bajeti siyo kusumbuana kwe cm ka deni!lnchi yenyewe ishakuwa ngumu hii tutaonana wabaya!oohoh! Loh!
ww utakuwa mmoja wao .Acha majungu wewe kama linakukera si uleft
Subiri uolewe mwakani tuoneTeh si bora magrupu unaweze kumute ukachuunaa! Kuna hizi kadi na msg nina kadi nne zote zinafatana !hivi kwani kufanya harusi hadi uchangiwee?? Eboh! Yani mtu huna hata kagari ka mil 5 teh unataka harusi ya mil 7 mfyuu! Si utumwa huu?! We unataka kuoa mwakani anza kuweka vijisenti vyako waambie ndugu zako wakuchangie alika watu kulingana na bajeti siyo kusumbuana kwe cm ka deni!lnchi yenyewe ishakuwa ngumu hii tutaonana wabaya!oohoh! Loh!
utakua admin wewe.Acha majungu wewe kama linakukera si uleft
Wahenga walipata kunena kuwa MAJUTO NI MJUKUU.....ukiacha hali ya utawala mbovu kwenye taifa letu lenye neema...lakini wakati mwingine umasikini wetu unatokana na matumizi mabaya ya rasilimali MUDA.....na huu mlindikano wa magroup ya kipuuzi kwenye mitandao ya kijamii ni kielelezo tosha cha jinsi gani hatuwez kuuthamini muda.....sasa kama huyu mtoa mada anaugawa vipi muda wake wa kuzalisha mali na kupiga soga kwenye hayo makundi nane....!!!?? Kwa kweli inashangaza.........
Ukweli ambao hautakiwi kusemwa ni kuwa tunaandamwa na umasikini kwa kuwa tumewekeza muda wetu mwingi na juhudi zetu nyingi kwenye mambo ya kipumbavu na yasiyo na tija kwenye maisha yetu.....na ndio maana kila siku tumekuwa watu wa kuwashangaa wale wanaopigania mafanikio yao usiku na mchana......na tukitoka kwenye usingizi huo wa ujinga na upumbavu wa kutumia vibaya muda wetu tunatafuta mtu wa kumlaumu kana kwamba sisi hatuja husika na huuo umasikini wetu......kabla ya kuilaumu serikali kuwa haikujali wewe mwenyewe kwenye juhudi zako umefikia wapi....???!!
Wakati sisi tunashindana kuchat na kupiga soga hata muda wa kazi...vijana wa kichina wanazunguka huko kariakoo wakitauta fremu za biashara.....wapo kwenye mabasi kwenda huko mikoani kutazama fursa mbali mbali
Lengo sio kila mtu kuwa tajiri au bilionea la hasha bali ni kuweza kukidhi mahitaji yale msingi.....
Bado wananchi wa taifa hili hawajui thamani ya muda......wakati watu wa mataifa mengine wakikimbizana na muda ili kufanikisha mambo yao kwa wakati huku unamkuta mzima anakuambia ngoja nikapoteze muda kwenye draft au bao......
Hata kama huna kazi wala kibarua kwa sababu yoyote ile basi usiutumie muda wako vibaya.....nenda hata kwenye maktaba ukajisomee kitabu uongeze maarifa.....au hudhuria hata semina za wajasiliamali......
NB; kila mtu atavuna kile alichokipanda.....
Mnachangishana?Wengine wana hadi magroup ya birthday😵