Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,377
- 10,640
Heeeee!
Simu yangu mpaka sasa ina magrupu ka 8 ya harusi. Tena kwa mbwembwe wengine wanadai pledge ianzie 250,000 mara 300,000 mara 150,000. Heee, jamani, na huu uchumi uliobanwa na JPM bado nitoe milaki kila grupu? Na bado mnaniadd bila kunambia????
Hii kitu inakera aisee, TRA anzisheni kodi kwenye hizi harusi na grupu za whatsapp, tena watoe na lisiti la sivyo hiyo miaka 3 jela iwahusu. Mi harusi yangu hakuna michango, just naenda church namaliza ndoa kisha niliowaalika home watakuja na kula na kunywa kitakachopatikana!!!