Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,755
hayo matatu pamoja
- Ryan Giggs-Man U VS Arsenal
- Leo Messi-Barca VS Getafe
- Zinedine Zidane-Real VS Leverkusen
- Dennis Bergkamp-Arsenal VS Newcastle
- Steven Gerrard-England VS Germany
- Luis Garcia-Liverpool VS Juventus
- Rivaldo-Barca VS Valencia
- Samuel Etoo-Cameroon VS Brazil
- Christiano Ronaldo-Man U VS Porto
- Patrick Mboma-France VS Cameroon
Magoli yote ya Chelsea yana nipa raha sana!
yeah Just like Jesus of Nazareth! Happy Easter in advance
mkuu balantanda umenikumbusha mbali sana . hilo la giggs liliuma sana.
alafu hapo kwenye la nasri ungeliweka la bergkamp against newcastle ambalo belo amesema hapo.lile goli lilikuwa noma.
hahah yako mengi sana mkuu , najua unalikumbuka hili against charlton.Hahaaaaaaaaa,haya Profesa...Hata hivyo ukisoma hapo juu kabisa utakutana na maneno haya mwishoni 'Haya ni yangu,je yako wewe ni yapi?,yaweke basi'
Kuna lingine kafunga Torres sasa hivi kwenye game ya Liverpool na Sunderland,hili nalo ni goli bora kabisa kwangu mimi
hahahahahaha HB hakawahi kulikimbia Jamvi wakishapigwa bao.
1. Goli la pili la Diego Armando Maradona dhidi ya wajivuni England, WC 1986!
2. Goli la kichwa la Henry dhidi ya Man U dakika za lala salama katika Premier!
3. Goli lilofungwa na Madrid dhidi ya Man U baada ya Redondo kupiga mtu tobo!
4. Goli lililofungwa na Samuel Etoo dhidi ya Man U, UEFA champions league 09!
5. Goli lilofungwa na Companero baada ya kupiga chenga mithili ya Leo Messi![/QUOTE]
Hili lilikuwa kwenye Chandimu??