Magoli Matano(05) yaliyonivutia kwenye Soka(magoli bora kwangu) ni haya...

Balantanda

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
12,476
4,752
1.Zinedine Zidane: Real Madrid Vs Bayern Liverkusen,UCL Final mwaka 2002


[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=crDzasp1-60&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=crDzasp1-60&feature=related[/ame]

2.Paul Gascoigne 'Gazza': England Vs Scotland UEFA EURO '96

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=g0NT6aUwN8c&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=g0NT6aUwN8c&feature=related[/ame]

3.Ryan Giggs: Arsenal Vs Man Utd FA Cup Semi Final 1999

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=EgHi3D7OjNs&feature=PlayList&p=661E7BDC16622B27&index=0&playnext=1"]http://http://www.youtube.com/watch?v=EgHi3D7OjNs&feature=PlayList&p=661E7BDC16622B27&index=0&playnext=1[/ame]

4.Samir Nasri: Arsenal Vs Porto UCL 2010

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=J-vCxmjCm-8&feature=related"]http://http://www.youtube.com/watch?v=J-vCxmjCm-8&feature=related[/ame]

5.Thierry Henry: Sikumbuki vizuri kuhusu hii mechi ila goli ni tamu sana

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=gTuP0z6JmIw&feature=PlayList&p=2CAC5715B938807A&index=0&playnext=1"]http://http://www.youtube.com/watch?v=gTuP0z6JmIw&feature=PlayList&p=2CAC5715B938807A&index=0&playnext=1[/ame]


Haya ni yangu,je yako wewe ni yapi?,yaweke basi
 
  1. Ryan Giggs-Man U VS Arsenal
  2. Leo Messi-Barca VS Getafe
  3. Zinedine Zidane-Real VS Leverkusen
  4. Dennis Bergkamp-Arsenal VS Newcastle
  5. Steven Gerrard-England VS Germany
  6. Luis Garcia-Liverpool VS Juventus
  7. Rivaldo-Barca VS Valencia
  8. Samuel Etoo-Cameroon VS Brazil
  9. Christiano Ronaldo-Man U VS Porto
  10. Patrick Mboma-France VS Cameroon
 
1.kuna magoli mawili alifunga anthony yeboah akiwa anacheza leeds ni volleys from like 25yards
leeds vs liverpool,leeds vs wimbledon i think.
3.kuna goli alifunga paul di canio volley sikumbuki vs who
4.henry vs chalton backheel
5.giggs vs arsenal fa cup
 
  1. Ryan Giggs-Man U VS Arsenal
  2. Leo Messi-Barca VS Getafe
  3. Zinedine Zidane-Real VS Leverkusen
  4. Dennis Bergkamp-Arsenal VS Newcastle
  5. Steven Gerrard-England VS Germany
  6. Luis Garcia-Liverpool VS Juventus
  7. Rivaldo-Barca VS Valencia
  8. Samuel Etoo-Cameroon VS Brazil
  9. Christiano Ronaldo-Man U VS Porto
  10. Patrick Mboma-France VS Cameroon
hayo matatu pamoja
 
Kuna mtu juzi aliweka link ya Utube inayoonyesha Ronaldinho alipokuwa anatamba sana kwenye Ulimwengu wa soka. Kulikuwa na magoli kama matatu au manne bomba sana. Gaza alikuwa mcheza mzuri sana lakini kinywaji na makeke vikamwaharibia.
 
Magoli yote ya Chelsea yana nipa raha sana!

Hahaaaaaaaaa,naona umefufuka home B

[ame="http://http://www.youtube.com/watch?v=Tq97vtAhawc"]http://http://www.youtube.com/watch?v=Tq97vtAhawc[/ame]
 
mkuu balantanda umenikumbusha mbali sana . hilo la giggs liliuma sana.

alafu hapo kwenye la nasri ungeliweka la bergkamp against newcastle ambalo belo amesema hapo.lile goli lilikuwa noma.
 
1. Goli la pili la Diego Armando Maradona dhidi ya wajivuni England, WC 1986!
2. Goli la kichwa la Henry dhidi ya Man U dakika za lala salama katika Premier!
3. Goli lilofungwa na Madrid dhidi ya Man U baada ya Redondo kupiga mtu tobo!
4. Goli lililofungwa na Samuel Etoo dhidi ya Man U, UEFA champions league 09!
5. Goli lilofungwa na Companero baada ya kupiga chenga mithili ya Leo Messi!
 
mkuu balantanda umenikumbusha mbali sana . hilo la giggs liliuma sana.

alafu hapo kwenye la nasri ungeliweka la bergkamp against newcastle
ambalo belo amesema hapo.lile goli lilikuwa noma.

Hahaaaaaaaaa,haya Profesa...Hata hivyo ukisoma hapo juu kabisa utakutana na maneno haya mwishoni 'Haya ni yangu,je yako wewe ni yapi?,yaweke basi'
 
Kuna lingine kafunga Torres sasa hivi kwenye game ya Liverpool na Sunderland,hili nalo ni goli bora kabisa kwangu mimi
 
Hahaaaaaaaaa,haya Profesa...Hata hivyo ukisoma hapo juu kabisa utakutana na maneno haya mwishoni 'Haya ni yangu,je yako wewe ni yapi?,yaweke basi'
hahah yako mengi sana mkuu , najua unalikumbuka hili against charlton.
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=lbTSkIJQvwg"]YouTube- Robin van Persie vs Charlton[/ame]



[ame="http://www.youtube.com/watch?v=k3n4CTLDn_w"]YouTube- Bergkamp Goal Newcastle Unıted[/ame]
 
Kuna lingine kafunga Torres sasa hivi kwenye game ya Liverpool na Sunderland,hili nalo ni goli bora kabisa kwangu mimi

Sikupata bahati ya kuliona hilo I hope watalirudia tena kabla ya half time.
 
1. Goli la pili la Diego Armando Maradona dhidi ya wajivuni England, WC 1986!
2. Goli la kichwa la Henry dhidi ya Man U dakika za lala salama katika Premier!
3. Goli lilofungwa na Madrid dhidi ya Man U baada ya Redondo kupiga mtu tobo!
4. Goli lililofungwa na Samuel Etoo dhidi ya Man U, UEFA champions league 09!
5. Goli lilofungwa na Companero baada ya kupiga chenga mithili ya Leo Messi![/QUOTE]
Hili lilikuwa kwenye Chandimu??
 
Goli la Mgosi wa Simba dhidi ya Lenghthens ya Zimbabwe katika ushindi wa 3_-0
 
Goli la Fumo Felisiani Pamba vs Yanga mwaka 1993 katika uwanja wa UHURU(Taifa zamani)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom