Magogoni ni patakatifu pa wafanyabiashara! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magogoni ni patakatifu pa wafanyabiashara!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Hunter, Oct 21, 2011.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nimeikumbuka kasha anayopewa mzee Beny Mkapa, ya kufanya biashara akiwa ikulu, nikakumbuka na kisa cha bi.Siti Mwinyi, na leo hii cha Ridhiwani na mama Salma.
  Kimsingi tutakubaliana watu wote hawa kwa nyakati tofauti wamehusiana na ikulu moja kwa moja, lakini sasa nimeshindwa kuelewa kwanini Beny alionekanika amefanya biashara ikulu, ilhali leo hii Bw Kikwete anafanya the same! kwani zile truck 80 zilizoingizwa nchini kwa kumpitia Davis Mosha si ni za mkuu wa kaya? tenda wanayofanya ya kusupply mafuta toka Mombasa kwenda Sudan, uganda na rwanda si ni mkuu anahusika, japo amemweka bw. Mosha kama mtu wa mbele, lakini Jakaya na Ridhiwani ndo wahusika.
  Tujiulize pia zile ghorofa pale msamvu morogoro Ridhiwani amepata wapi uwezo wa kuzijenga kama sio baba ila anamtumia mtoto!
  Naamini
  Biashara ya mama, ni ya baba pia, kusema ile tenda ya kulisha migodi anayofanya Salma Kikwete ni ya Jakaya pia.
  Hizo gas station anazohusika nazo Ridhiwani, niza Jakaya pia,
  Zile truck zakusomba mafuta pale mombasa anazosimamia Davis niza Jakaya pia.
  Hivyo, ni wazi viongozi wote waliowahi kukaa hapo ikulu tukimwacha Hayati Nyerere ni wafanya biashara.

  Namwomba Mola ile kesi ya Ridhiwani kwa wapambanaji Dr. Silaa, na Mtikila iendelee ili uma umfahamu Raisi wao ni mtu wa namna gani.
   
 2. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hizo ghorofa unazozisema mbona rizwan alizikana na kusema yeye hana ghorofa wa lorry tena mbele ya vyombo vya habari na hakuna aliyejitokeza kumpinga. aaah mi sijui burner
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Itagundulika tusubiri ile kesi yake ianze!
   
Loading...