kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,255
- 16,185
Majengo ya zamani ambayo sasa ni magofu kama Yale ya Kilwa, Bongoyo, mbudia, Isimila, Bagamoyo, nk yatakuwa na maana Kwa wananchi na watalii kama tutayakarabati kidogo bila kupoteza Sana Sura yake na kutumika Kwa shughuli za kibinadamu za kitalii kama vile migahawa ya kitalii, hotel, hostel, soko, nyumba za ibada, maktaba, ofisi za kitalii au makumbusho.
Hii itakuwa na maana Kwa kizazi hiki na kijacho badala ya kuwaonyesha watu magofu Tu kama magofu.
Hii itakuwa na maana Kwa kizazi hiki na kijacho badala ya kuwaonyesha watu magofu Tu kama magofu.