Magnitude 6.2 earthquake hits Tanzania, no damage | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magnitude 6.2 earthquake hits Tanzania, no damage

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Abdulhalim, Dec 21, 2009.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  DAR ES SALAAM, Dec 20 (Reuters) - A 6.2-magnitude earthquake struck southwest Tanzania early on Sunday morning but does not appear to have caused any damage, a regional police chief said.

  The U.S. Geological Survey reported the quake's epicentre was 84 miles (135 km) south of the town of Mbeya, at a depth of 6.2 miles (10 km).

  "At 0223 in the morning, there was an earthquake but up to this point, we have no reports of any damages or injuries," said the regional police commander of Mbeya, Advocate Nyombi.

  A magnitude 6 quake is capable of causing severe damage.

  A series of tremors shook Malawi earlier this month and a 5.2-magnitude quake killed a one-year old child and injured two other people on Dec. 8.

  That quake's epicentre was 110 miles (175 km) north of Mzuzu, Malawi's third largest city, and 75 miles (125 km) southeast of Mbeya. (Reporting by Katrina Manson; Writing by Helen Nyambura-Mwaura; Editing by Matthew Jones)

  Source

  Hivi kuna means za kudumu za kukabiliana na majanga kama haya yanapotokea? au ndo vile yakitokea ni amri ya Mungu?
   
 2. October

  October JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duu!! Afadhali Mungu amepitishia mbali hili janga, maana Saa ilipotokea (nane usiku) ingekuwa hatari tupu maana watu wengi huwa wanakuwa wamelala.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo ina maana hatuna matumaini mengine zaidi ya 'Mungu asaidie'???
   
 4. October

  October JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wewe unafikiri tuna matumaini gani zaidi?

  Cha zaidi sana ni kuwa na utaalamu wa kuweza kutambua majanga haya yatatokea lini na wapi na kwa magnitude gani ili kama ni kuhama tuhame. Unadhani kuna chochote tunaweza kufanya kuzuia hii nguvu ya asili?
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kiongozi, naona umekata tamaa kabisa. Vipo vitu vingi tu tunavyoweza kufanya.

  1. Ku-elianate maeneno ambayo ni hazardous.
  2. Kutoa elimu kwa wakazi jinsi ya nini kifanyike inapotokea hali kama hiyo.
  3. Kuwa na timu za ukoaji pindi tukio linapotokea ili kuokoa maisha na mali inapowezekana.
  4. Kuwa na malengo ya muda mrefu, kama mambo ya ujenzi unaozingatia unyeti wa eneo na matukio kama haya.
  5. etc
   
 6. October

  October JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Asante Mkuu kwa Ilimu yako iliyotukuka.!!!!!
   
 7. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  The quakes we are witnessing might be a sign of "THE BIG ONE" to come!!
   
Loading...