Magic Restroom Cafe: Toilet-themed cafe in California...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,139
magc.jpg magc2.jpg magc4.jpg magic3.jpg
Mgahawa huu uliofunguliwa hivi karibuni maeneo ya California, umedizainiwa kwa mtindo wa choo, viti vyake vya kukalia kama inavyoonekana hapo vipo muundo wa choo na kinachofurahisha zaidi ni kwamba pia kama kweli ukibanwa na haja hapo hapo pia ukikifunua kinakua ni choo kabisa kinachofanya kazi hivyo unaweza ukawa unakula huku unakata gogo. Na sahani pia zinazotumika ni hizo hapo zenye mfano wa choo pia. Sijui watu wanawaza nini ubunifu wa namna hii!
 
Iyo issue imerushwa bbc swahili sasa ivi kuhusu kukata gogo haipo acha kudanganya watu ila unaweza kukaa kikiwa kimefunikwa na pia ukipenda kufunua ruksa loo kweli jf kuna waongo
View attachment 117195View attachment 117196View attachment 117197View attachment 117198

Wahenga walisema akili nyingi huondoa maarifa. Sijui wenzangu lakini binafsi nisingependa kwenda kula sehemu kama hiyo.
 
Duh!! hii kali, wazungu wameishiwa na cha kufanya.
 
Iyo issue imerushwa bbc swahili sasa ivi kuhusu kukata gogo haipo acha kudanganya watu ila unaweza kukaa kikiwa kimefunikwa na pia ukipenda kufunua ruksa loo kweli jf kuna waongo

Dah, tulishadanganywa, ahsante kwa taarifa ya ukweli

Mtoa mada usirudie tena hcho ktendo, watu wanapata knowledge hapa, acha "uzandiki wa hali ya juu"
 
Wateja wake ni wale wa jamii ya Fetish, bila shaka.
 
Apo kula kweli ni ngumu. Sawa na kununua baby chamber potty jipya ukaweka supu na kula.
 
View attachment 117195View attachment 117196View attachment 117197View attachment 117198
Mgahawa huu uliofunguliwa hivi karibuni maeneo ya California, umedizainiwa kwa mtindo wa choo, viti vyake vya kukalia kama inavyoonekana hapo vipo muundo wa choo na kinachofurahisha zaidi ni kwamba pia kama kweli ukibanwa na haja hapo hapo pia ukikifunua kinakua ni choo kabisa kinachofanya kazi hivyo unaweza ukawa unakula huku unakata gogo. Na sahani pia zinazotumika ni hizo hapo zenye mfano wa choo pia. Sijui watu wanawaza nini ubunifu wa namna hii!
No please mimi hunilishi hapo hata siku moja njaa yote imenitoweka hizi kufuru sasa!!
 
hahaa mie ingekuwa Bongo..ningekuwa naenda kupiga Menu hayo maeneo
Aisee you seem to be a very curious lady who like trying new things...Yaani ni wazungu wengi wapo hivyo mfano something scary wao wanaenda kutafuta chanzo what makes the noise or these wierd movements... wakati waafrika wanatoka nduki kwenda kujificha walivyo waoga ha ha ha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom