Magic Restroom Cafe: Toilet-themed cafe in California...!!!!

Magic Restroom Cafe: Toilet-themed cafe in California...!!!!

Haya maeneo yangekuwa bongo? Haki ya Mungu yangekuwa maeneo yangu ya kujidai.
 
Inaonekana mmiliki wa huo Mgahawa anapenda kunya kuliko kitu kingine chochote hapa duniani..
 
Middle East zipo kibao hizo. Hata chakula unacholetewa kipo katika muundo wa faeces. Tissue zinazotumika ni toilet paper. Kama una kinyaa huwezi kula (Si kwamba ni pachafu).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom