kama una ujasiri wa hali ya juu na unataka kupata pesa(magic money) sio blood concern ni nguvu tu.physic power, utapata kiasi cha pesa unachotaka ni pm nikupe maelezo ya kuamusha physic power yako.
Mkuu Mla nyama za watu (Barbarick), nguvu zipo, na tumepewa na Mungu bure na kwa uwazi ili kuzitumia nguvu za Mungu ni freely na unconditional!, ila shetani naye yupo, na pia anazo nguvu ambapo ili kuzitumia ni conditional!, lazima ufuate masharti fulani kama zilivyo secret societies zote!. Kitendo cha kuwe condition tuku TP, hii ndio dalili ya kwanza kabisa na ya awali, unachotaka kutuletea ni ushetani!.
Nakushauri kama sio ushetani, mwaga kila kitu hadharani!. Tembelea uzi wangu huu kuhusu [h=3]
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo!.[/h]nimeweka kila kitu hadharani mpaka namna ya kutengeneza uchawi etc, mtu awe huru kuisikiliza dhamira yake na kuamua kufuata au laa!.
Shetani mara nyingi huutumia udhaifu wa mtu ili kumwingia kirahisi!, mfanio umeishaishajua Watanzania ni masikiti wa kutupa!, wengi shida yao kubwa ni pesa!, hivyo namna rahisi ya kuwaingia ni kuwaahidi pesa, utajiri etc!.
Hata Yesu, baada ya kufunga usiku na mchana bila kula kwa siku 40 uakiwa na njaa, shetani ndipo alipomjaribu kwa ahadi ya kumshibisha soma
Mathayo 4: 1 -11:"Kisha Yesu akapandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi. Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwishowe akaona njaa. Mjaribu akamjia akamwambia; Ukiwa ndiwe mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate. Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu"
Pasco