BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,507
- 11,883
Akizungumza bungeni muda huu anasema ujenzi wa km 7 umekua na matatizo,Kila mwenye kampuni ya ujenzi pale anakufa.Yeye mwenyewe kanusurika na ajali ya helikopta akitaka kwenda somanga kukagua.Ikumbukwe barabara hii ilianza kujengwa tangu enzi za Rais Mwinyi mpaka leo haijaisha