Magharibi lazima waamke, wasikubali itikadi kali wanaoshi kwao wakanyage values za West walizozikuta

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Itikadi kali mnachekesha sana na hakuna watu wanafiki zaidi ya nyie duniani. Mnakaaga na kuwasema vibaya nchi za magharibi na kuwaita makafir lakini pale inapotokea matatizo makubwa nchini mwenu hizo zilizojaa fujo sehemu ya kwanza kukimbilia huwa ni USA, UK, Germany, France, etc.

Sasa mmejaa huko kwa kweli na uhuru mlioukuta huko sasa mmeuzoea vibaya sana. Mmesahau mikono mliofungulia wakati mnatafuta maisha mazuri, sasa hamueshimu tena values mlizozikuta katia nchi hiz. Hii yote ni kutokana na roho mbaya, vinyongo na unafiki ambao mmejagewa na kurithishwa katika itikadi yenu vizazi na vizazi.

Mnaandamana kuunga mkono magaidi kisa wana itikadi ya kidini kama yenu. Mnafuga ndugu zenu wenye itikadi za kigaidi. Mnafanya uharibifu katika taasisi za kiyahudi na kikristo.

Hakika nyie asili yenu ni fujo na uharibifu ndio maana mnashindwa kujiziua hata ugenini kwa nchi zilizowasaidia.

The west must condemn this, infact ilifanya kosa kupokea hawa watu na kuwakaribisha kwa wingi katika mataifa yao. Sasa leo mtaanza kujionea watakayowafanyia.
Screenshot_20231101_221853_X.jpg
 
Back
Top Bottom