Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,532
- 9,601
Huyu ndiyo ponjoro sasa, sio mimi. Nasema uongo ndugu zangu?
Utekelezaji wa kuficha maovu yandani unafanya kazi.Hasta la victoria simpreHuyu ni miongoni mwa Chawa wa kitambo sana!
Huyu pimbi akili yake fyatu maana kila jambo kanajifanya kujua.Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa akizunguza Clouds TV
"CCM na Mwenyekiti wao chini ya uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan hatusikii sana masuala yenye kuhusiana na kashfa na hatusikii sana masuala ya ufisadi. Alisema hatakuwa na Mswalie Mtume na wale ambao wanachukua pesa za wananchi. Hayo ndio maneno ambayo wapiga kura wanataka kuyasikia"