Mageuzi makubwa CCM

Tumbafu sana bunge live hamtaki tuangalie, leo mnatuambia tuangalie huo upuuzi wenu nyambaafu.
 
TBC TV Kwa nini Hawatorusha Matangazo ya Moja kwa Moja?
 
Wee jamaa unaonekana una chuki binafsi na ujue hazijeng zaidi utakufa kwa kihoro
 
Huyu mtangazaji wa kiume empty kabsa kichwani anamuuliza polepole atafanyaje kuhakikisha kua watanzania wote wanakua ccm,,, polepole nae anajibu kua anataka ccm ndo ibaki kutawala tu ila vyama vingne vya upinzani vibaki kupiga kelele na kuongea zaidi, hii ni interview mbovu kuwahi kutokea nchini
 
Lugha uliotumia sio sahihi, MAGEUZI MAKUBWA MAANA YAKE NI MAPINDUZI...!!

Acha ujinga..!!
 

Tatizo ni tafsiri ya ufisadi. Waweza fanya ufisadi kupiga vita UFISADI.
 
Eti sumaye ndio anawafundisha uongozi chadema maana alisema haina viongozi
 
Tarehe22/12/2016,
Asubuhi saa2, Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Humprey Polepole atakuwa Clouds Tv na Uhuru Fm akizungumzia mageuzi Makubwa Ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM).
Usikose.

Yaani kweli unaamua kuwaalika watu ktk mambo ya ccm! Ee bwana wee!
 
Polepole naye amekuwa mtu asiye na princiles. Hivi inawezekanaje wewe muumini ngangari wa seriksli tatu (hii ndiyo imani yako) unakubali kirahisi hivyo kubadilika ghafla na kuwa kiongozi wa chama kinachoamini piga ua galagasa mfumo wa serikali mbili!
Je, hili halimuumizi dhamira? Nafsi haimsuti? Atawezaje kusimama hadharani kutetea sera ya chama chake ya serikali mbili? Polepole umekuwa too cheap! Anything goes type of a person. Yaani huna personal conviction? What do you stand for my friend! Tumbo tu basi! Nimechoka! Unafikiunafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…