Hongera sana sana!
John C. Minja amenifariji katikati ya safari ya kupambana na dhuluma.
Nampongeza huyu ni kiongozi makini sana na hataki mchezo katika jeshi la Magereza. Wote tungekuwa wazalendo kama huyu kweli nchi ingeendelea. Sio kama upuuzi wa Jeshi la polisi chini ya Mwema, Polisi wanaua, wanasafirisha bangi, meno ya tembo lakini hadi leo hawajafukuzwa kazi hata kusimamishwa basi hakuna.
Hongera sana Jenerali Minja. Tupo pamoja.
Ila siku nyingine piga na nembo ya Jeshi ili kujiridhisha kuwa ni taarifa yake