Magereza ya Norway

"Nataka kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya"
 
Ila lazma apige puli maana mashori hapati.
Hiyo ni haki yao kikatiba kuna siku mke wake huwa anaenda kwaajili ya kuliwa kisosi! Siyo kama bongo baadhi ya magereza huko ulaya kuna siku wanapewa muda wa mkeo anakuja kwaajili ya tendo la ndoa
 

MWANZA.
MAWAKILI wa kujitegemea zaidi 50 wanachama wa Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa wametoa msaada wa ushauri wa kisheria na kusikiliza na kujibu maswali ya malalamiko ya wafungwa na watuhumiwa walio mahabusu wapatao 2,000 katika Gereza Kuu la Butimba la Mkoani Mwanza.
 
Bado ni utumwa tuuu maana atakosa uhuru na conjugal right
 
NYUMBA/ MIJUMBA
Gereza limegeuzwa bonge la Hoteli, kulala humu vipi ni noma au?





Bridewell lilikuwa Gereza ndani ya Liverpool Uingereza ambalo lilijengwa tangu miaka ya 1550 hivi, liliwahi kubadilishwa matumizi yake kwa mara kadhaa lakini hii ya sasa hivi ni story tofauti yani.

Pata picha mahali kama Gereza la Segerea, Keko au Ukonga ambamo leo hii wanahifadhiwa watu ambao wanatumikia vifungo, utajisikiaje siku moja kuingia kulala ndani ya Gereza mojawapo ikitokea miaka hata kumi baadae Gereza mojawapo linageuzwa Hoteli ya Kifahari kabisa !!


Bridewell Prison ilikuwa zamani mtu wangu, watu wameamua pasibaki hivihivi, imetengezwa bonge la Hoteli na kuna vitu vichache ukiviona ndio utashtuka kwamba hapo palikuwa Gereza…

 
HAISHANGAZI bila hawa kuchangia budget ya serikali yetu haitoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…