The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,409
- 1,813
Kweli The hammer, room kali huduma zote muhimu zipo.
Du Bongo wangeiba
Mbona ni pazuri hata zaidi ya lile jengo jeupe karibia na bahari?
Anacheki na Yanga na Waangola live bila chenga.....! ππππππmfungwa anacheki bunge live....
wanakuja mademu zao na anaruhusiwa kukaa nae siku nzima anagonga anavyotaka.Ila lazma apige puli maana mashori hapati.
hizo jela zingine siku hizi wakimbizi wanaishi humo wamepewa hifadhimaana nyingi ziko tupu hamna wahalifuhakuna fix mkuu. hapo anakosa uhuru tu maana ni kisiwani.
Hahaha noma sanaaAnacheki na Yanga na Waangola live bila chenga.....! ππππππ
hahaha, sasa wale wa prison break kwanini walitoroka?
Vipi muhuni?mhhhh
Vipo vitu vibaya zaidi ya kunyimwa uhuru ikiwemo "mujengo kushindwa kusimama"Hakuna kitu kibaya kma kunyimwa Uhuru.