Magereza ya JF yaboreshwe!!


Washkaji zangu GOOGLE, Darubini,na Darubini1 muendelee kupumzika kule jela nilipo waacha leo asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
naona mantiki ya huu uzi sasa imetimia, hakika magereza yameboreshwa...yule MzunguMndali hatunaye tena hapa jukwaani til next year I guess
 
waboreshe kama zamani unakula ban wanatuambia tujue kabisaa...
 
Ni kweli inabidi magereza yaboreshwe ili vijana wajifunze nidhamu maana imefikia wakati mtu anakiri kutamani kutukana na kuomba jukwaa la matusi lifunguliwe ili kuwapunguzia watu hasira kitu ambacho ni hatari.Napendekeza walioko jela wafunguliwe japo dirisha la advice,ili tuwe tunawashauri wanapokuwa jela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…