Magereza kunaendeka?

maulid salum

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Wakubwa heshma yenu naomba muongozo wenu hv mwaka huu magereza wata toa nafas kweli. Maana kitaa hakikaliki tunaumia.
 
Wakubwa heshma yenu
naomba muongozo wenu hv mwaka huu magereza wata toa nafas
kweli........maab daaa kitaa hakikaliki tuna umiaaaa

hahahah unataka kufungwa vunja sheria
lakin haiwezekan utakua unaulizia nafas za kazi mkuu ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…