Magereza ambayo Scorpion mtoboa macho anafaa apelekwe

Magereza ambayo Scorpion mtoboa macho anafaa apelekwe

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,456
Reaction score
1,009
Habar wadau,
Nimetafakari kwa ukatili wa scorpion mtoboa macho aliokuwa nao napendekeza hukumu ikitoka huyu muuwaji nashauri apelekwe kwenye magereza yafuatayo:-

1.KITENGULE-KAGERA
2.ISANGA-DODOMA
3.RUKARANGA-KILIMANJARO
4.BUTIMBA-MWANZA
5.MAWENI-TANGA

NAWE MDAU ONGEZEA GEREZA LINALOMSTAHILI HUYU KATILI MTOA MACHO MUUWAJI.
NAWASILISHA
 
Kama atafungwa miaka mingi bado ni hasara kwetu maana hatokua anatoka nje kwenda kulima au kupasua mawe atakuwa anacheza mpira tu ndani. Mimi napendekeza watuachie tu huku kitaani tutajua cha kumfanya nadhani tutatoa adhabu inayoendana naye.
 
Kwa Tanzania napna butimba ndio gereza la ukweli huku segerea ukonga na keko wamejaa wavuta unga lakini butimba kuna wale majamaa wanaoyeka magari barabarani mijitu ina miili ya asili na roho mbaya.
 
Sisi in binadamu wapita njia katika dunia.hatutakiwi kuwatakia mabaya wenzetu.tusameheane na kwa kweli kila MTU ana mapungufu yake.napenda kuchukua fursa hii kumtakia scorpion atoke jela aje awe balozi wa amani kitaa na aje ajutie makosa yake.wapo akina Dada wanaotoa mimba kila Siku hayo yote ni dhambi.scorpion kampofosha mwenzake.kwa jinsi alivyoandikwa kesha jifunza.na yule mwalimu aliyemtwanga makofi denti naye kakosea sana.atubie kwa Mungu na sisi tumsamehe.
 
Wanaume wa Dar Mnatuaibisha Wanaume wa Mikoani!Huyo Scorpion a.k.a Ilikuwa Sio wa Kumpeleka Jela!Huyo Angekuwa Uku Iramba Tungesha Mtoleo Posa na Kumuoa!Angeosha Vyombo,Kufua Nguo na Kulea Watoto!
 
Waachwe sheria ichukue mkondo wake, scorpion sio mtu wa kurudi uraiani.
Walimu nao wazidishiwe adhabu ipate kuwa fundisho
 
Habar wadau,
Nimetafakari kwa ukatili wa scorpion mtoboa macho aliokuwa nao napendekeza hukumu ikitoka huyu muuwaji nashauri apelekwe kwenye magereza yafuatayo:-

1.KITENGULE-KAGERA
2.ISANGA-DODOMA
3.RUKARANGA-KILIMANJARO
4.BUTIMBA-MWANZA
5.MAWENI-TANGA

NAWE MDAU ONGEZEA GEREZA LINALOMSTAHILI HUYU KATILI MTOA MACHO MUUWAJI.
NAWASILISHA
Niliwahi kusoma mahali kuhusu askari jela mmoja wa kuitwa 'IRON FACE' sijui wa gereza gani vile lakini nahisi ilikuwa Dodoma, kama bado yupo huyo askari basi apelekwe huko!!
 
Yaani kila nilifikiria dar ukisikia mwizi,ujue kashakufa hachukui round!
Ss huyu mtu eti anaangaliw,anaogopwa?
Bado sielewi,sio bure
 
Kama atafungwa miaka mingi bado ni hasara kwetu maana hatokua anatoka nje kwenda kulima au kupasua mawe atakuwa anacheza mpira tu ndani. Mimi napendekeza watuachie tu huku kitaani tutajua cha kumfanya nadhani tutatoa adhabu inayoendana naye.
Kumbuka anaself defence mwilini mwake!!
 
Apelekwe Gereza la ISUPILO Iringa vijijini
Ni kweli lile ndo gereza lenye shughuli nyingi wana mashamba makubwa sana ya mahindi au wampeleke Gereza la Songwe Mbeya kule pia kuna suluba kali, by the way Isupilo lipo Mufindi sio Iringa vijijini.
 
Una uhakika gani kama amejifunza au ni ndugu yako unamuombea msamaha bila ya ridhaa yake?

Kwenye picha za magazeti haonyeshi kujutia cho chote.

Tutamsamehe pindi na yeye atakapotobolewa macho aone raha ya kuishi kama alivyomfanyia mwenzake.
 
Watuletee huku Gereza Namajani apige jembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom