verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,270
- 6,538
Sawa mbalapalaInaonesha wewe ndo hukupenda hesabu,mwalimu mpaka jina.Hata mtoto ukiona anakwambia tumesoma math ujue tu ni muhanga.Hivyo andaa mbinu na kumfanya ajue umuhimu wa hili SoMo.
Ha ha haaaaaaaaa anafanya shughuli gani.Inabidi afungue kijiwe Cha tution.Duh math ni khatari kuna jamaa mmoja yupo kule Mchikichini mwenyewe anajiita HIDDEN,, yani amemeza hadi ile four figures
Jamani Kuna ile kitu ilikuwa inaitwa logarithm na four figure.Mie nilipita bure kabisa ilikuwa Kama msabato na Quran.Yani sijawahi ielewa.
Aisee!... Ile unafungua tu karatasi unakutana na kitu hiki:Simultaneous Equation.
Ha ha haaaaaaaaa anafanya shughuli gani.Inabidi afungue kijiwe Cha tution.
Dah,kwani saa ngapi muda huuMwanahabari wa kituo cha runinga cha the citizen nchini kenya kufanyiwa uchunguzi wa akili.
Hamna somo rahisi kama maths kwañza halina maneno mengi.Jamani Kuna ile kitu ilikuwa inaitwa logarithm na four figure.Mie nilipita bure kabisa ilikuwa Kama msabato na Quran.Yani sijawahi ielewa.
Kuna mtu alinambia zinatumika viwandani sijui kwenye kufanya nini.Log kama ukumbuka
Sijui hata ni Nini.Lakini nilishapita nakambinu kangu kakukwepa F tu.Hamna somo rahisi kama maths kwañza halina maneno mengi.
Umenichekesha SanaIla naona GAZI imeondolewa in real life na kubaki MAJUTO
Fafanua MAGAZIJUTO inakua applied vipi in life.Katika pita pita zangu huku na kule nimegundua ya kwamba kanuni moja matata tuliyokuwa tukitumia mashuleni hasa elimu msingi na sekondari ya MAGAZIJUTO ndio iko applicable katika daily life la mwanadamu yeyote bila kujali kama hakwenda shule au alienda.
Cha kushangaza zaidi hata wenzetu wale waliokuwa wakijinasibu kuwa wao ni HKL kule sekondari wanatumia hii kanuni bila kujijua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chezea maths wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama linear programming na differential equationsKama zi[pi?...
Mfano wa matumizi yake basi?Katika pita pita zangu huku na kule nimegundua ya kwamba kanuni moja matata tuliyokuwa tukitumia mashuleni hasa elimu msingi na sekondari ya MAGAZIJUTO ndio iko applicable katika daily life la mwanadamu yeyote bila kujali kama hakwenda shule au alienda.
Cha kushangaza zaidi hata wenzetu wale waliokuwa wakijinasibu kuwa wao ni HKL kule sekondari wanatumia hii kanuni bila kujijua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chezea maths wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]