Magazeti ya leo live jisomee hapa

Magazeti ya leo live jisomee hapa

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
1418017424875.jpg
Kwa wale wapenda kupiga chabo vichwa vya habari vya magazeti then wanasepa bila kununua hata moja, nimewaletea hapahapa ukumbini msihangaike kwenda road.
 
Wewe mwisho na njaa zako utabaki kula vumbi hadi koo liote ukurutu.

swissme;
 
Sasa kama nimevurugwa wewe tutasemaje.unatuletea magazeti ambayo hata kusome ni ngumu.kweli njaa hizi mtu anaweza kufa just like that.


swissme:
 
Sasa kama nimevurugwa wewe tutasemaje.unatuletea magazeti ambayo hata kusome ni ngumu.kweli njaa hizi mtu anaweza kufa just like that.


swissme:
Kumbe ulikuwa unasubiri uletewe magazeti hapa! Kumbe mpo wengi wapiga chabo vichwa vya habari na kusepa! Pole sana.
 
Siko bongo mkuu ni swiss.lakini nashukuru kwa kuona rangi za magazeti

swissme:
 
good idea kila mmoja aje na heading aliyopiga chabo na gazeti husika kuliko kuanzisha vitopic kibao ana idea ila tuirefine ipo crude
 
Back
Top Bottom