Gazeti la Dar leo bado lipo sema labda mitaa unayopatikana huwa hayapatikani, Alasili ni kama gazeti la LETE RAHA ambalo mzee wetu kaamua kuacha kulichapisha kwani mwanasport limemwalibia kbs, Crashwise gazeti la nipashe lipo bana labda huko A town gorika lilichelewa kufika