Magauni ya kisasa ya harusi yanauzwa

Magauni ya kisasa ya harusi yanauzwa

weka na picha tuone kama kweli ya kisasa!
 
weka picha na bei..
Mko mobile? mbona there is no location?
 
Owkey samahani kulikua na tatizo la kiufundi.
Yanapatikana dar_es_salaam
mwenge.

Yanakodishwa na kuuzwa pia.
Bei;850,000/=, 900,000/=
kukodisha ni 150,000/=
asanteni na karibuni. Picha zinakuja
 
Hizo hapo wadau....
KARUBUNI..
 

Attachments

  • 1417525641089.jpg
    1417525641089.jpg
    50.3 KB · Views: 476
  • 1417525656606.jpg
    1417525656606.jpg
    31 KB · Views: 446
  • 1417525676639.jpg
    1417525676639.jpg
    40.1 KB · Views: 427
  • 1417525707261.jpg
    1417525707261.jpg
    25.8 KB · Views: 375
Mkuu kwanin usingetafuta hata mtu ajaribu umpige picha Ila usimtoe uso...Kama hauna Ile midoli
 
Hayo hapoo
 

Attachments

  • 1417899871204.jpg
    1417899871204.jpg
    47.7 KB · Views: 448
  • 1417899901264.jpg
    1417899901264.jpg
    50.5 KB · Views: 376

Similar Discussions

Back
Top Bottom