Magari yenye usajili wa RAC

Magari yenye usajili wa RAC

Snipper

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,336
Reaction score
2,173
Msaada kwenye tuta wanajamvi. Hivi haya magari yenye namba za usajili zinazoanzia na RAC ni ya taasisi gani? Nimekuwa nikiyaona sana mtaani lakin siyaelewielewi kabisa maana namba za magari ya serikali meng ni STK etc sasa hawa wao ni kitu gani? Nawasilisha!
 
Shirika la Reli
 
ni ya makatibu tawala wa mikoa. kirefu chake ni Regional Administrative Secretary.
 
Ni magari ya shirika la reli na kirefu chake ni Railway Asset C. zamani kulikuwa na A na B.
Duh! Mkuu umenikumbusha duniani maana walianza na RAA wakaja na RAB na hivi sasa RAC tena wangekuwa mbali kama sio mdudu mbaya aliyewaingia maana palikuwepo MALORI, MABASI na magari madogo madogo ya ukaguzi. Enzi hizo raha bwana.
 
mje mjekuru #natumaini umeona walioadhibiwa macho nahisi unatafuta kugawa sikio lako la kushoto sasa

Lakini hata wakitoa watu kucha na macho nao ipo siku wataenda undongoni kama kawaida.So haisaidie lolote ni matter of time nao wanakuwa marehemu..teteteteteh
 
Back
Top Bottom