Wanasema hivyo kuhalalisha ugongaji wa nyundo.Gari mpya zote ni mbovu (kwa sauti ya mafundi wa chini ya mwembe)
Wanasema hivyo kuhalalisha ugongaji wa nyundo.Gari mpya zote ni mbovu (kwa sauti ya mafundi wa chini ya mwembe)
Haha una Jeep nnWaongo wakubwa mnadanganya umma mafundi wakishindwa kutengeneza gari ooh bovu mfano Cherokee mbona ipo pouwa
Kuna mmoja kasema IST wamemvamia kama nyukiIkitokea hapa Mtu skasema VITZ watu watamzonga balaa 😁😁
nilinunua gx 100 mwaka 2011, kuna mtu nilimuazima akapita nayo uchochoroni akaaribu antena ya mbele ambayo huwaka kwa kubonyezwa ndani.fundi kumpelekea akaing'oa.
mara ya pili sait mirrow ilikuwa inatoa mlio wa mota kama haitali kuzima fundi akaikata waya ikawa upande mmoja inafunga mmoja haifungi..
nilipokuja jua mafundi wa karume,kiukweli vitu vingi nakiri walinihatibia gari wale wa kule jirani na kwetu.
ningewashauri waende na wakati.kuna siku ililetwa nissani fundi anasema hajui anaanza wapi kufungua.anafikiria kufungua bila ya diagonosis ya kujua nini tatizo.
sana,sema spare gharama + ikivujisha mafuta tu kwenye plug,haiwakiKuna muda hua inaunguruma kama treni ya kutumia makaa ya mawe,lkn ile gari ni chuma sana.
dodge
Gdi watu wanalionea sana.Hii gari ni nzuri saana.....tatizo ni mafuta yetu na uelewa mdogo wa mafundi wetu kwenye mambo ya umeme wa magari.
Hahahaha! Lakini pia nyundo haiepukiki kwenye ufundi mkuuWanasema hivyo kuhalalisha ugongaji wa nyundo.
RVR au CVR sikumbuki vizuri, lakini zilikuwa zinaitwa kitchen party
Hivi mfano kufungua miguu ya mbele utaepuka vipi nyundo?
Wadau wanataka uje na computer yenye App ya kufungulia hiyo miguuHivi mfano kufungua miguu ya mbele utaepuka vipi nyundo?
😀😀😀 uzungu mwingiWadau wanataka uje na computer yenye App ya kufungulia hiyo miguu