Magari yanayohitajika Tanzania

Magari yanayohitajika Tanzania

Ndugu,
Mimi nipo UK na Nimpango wa kurudi nyumbani hivi karibuni, ningependa kununua gari ambalo ninaweza kuliuza kiurahisi au ambalo limekaa kibiashara kwa mazingira ya kiTanzania.Hivyo basi napenda kuwaomba ushauri wana JF wenzangu ni gari gani ninaweza kununua na kuliuza kwa urahisi nikifika Tanzania au ni magari gani yapo kwenye mahitaji kwa sasa?

Natumaini nitapata ushauri mzuri na wenyekufaa

Natanguliza shukrani zangu

MwanaJF

Kamata Land Rover 109 huko Masasi na Tunduru dili sana.
 
aKsanteni sana Kwa ushauri wana JF, kwa ufupi MINi-SUV cars pamoja na malori ndo deal bongo? vipi freelander kama ndugu yetu hapo juu alivyo uliza? anyway kutokana na ushauri wenu pia nikichanganya na uwezo wangu nahisi nitapata kitu! ila shukrani sana!
Khs utapeli Mimi nimeomba ushauri tu na wala sijauliza mtu wa kufanya nae biashara wa la sijasema ninagari nauza au mtu aniagize gari! nampango wa gari nitakayonunua kuiuza ndo maana nimeomba ushauri lakini siyo katika mazingira haya!
nivizuri kuwaweka wazi watu au mitandao inayofanya utaperi kwani ndo watu wanaorudisha maendeleo yetu nyuma na kuondoa uaminifu hasa katika karne hii ya mitandao! kiufubi biashara nyingi sana duniani zinafanyika kwenye mitandao sasa kama matapeli bongo wamezidi kamwe hatutaweza kuendelea kibiashara na kinamna yoyote!

aksanteni
 
Kama hela yako si ya kifisadi ni ya kutafuta nunua gari za kijapani(toyota)4wd iliyonyanyuka barabara zetu ni kama uongozi wetu ni mbovu achili highway. Spear na mafundi ni kila kona ukiishiwa zinauzika kirahisi.ukipenda discover ni poa sana.
 
aKsanteni sana Kwa ushauri wana JF, kwa ufupi MINi-SUV cars pamoja na malori ndo deal bongo? vipi freelander kama ndugu yetu hapo juu alivyo uliza? anyway kutokana na ushauri wenu pia nikichanganya na uwezo wangu nahisi nitapata kitu! ila shukrani sana!
Khs utapeli Mimi nimeomba ushauri tu na wala sijauliza mtu wa kufanya nae biashara wa la sijasema ninagari nauza au mtu aniagize gari! nampango wa gari nitakayonunua kuiuza ndo maana nimeomba ushauri lakini siyo katika mazingira haya!
nivizuri kuwaweka wazi watu au mitandao inayofanya utaperi kwani ndo watu wanaorudisha maendeleo yetu nyuma na kuondoa uaminifu hasa katika karne hii ya mitandao! kiufubi biashara nyingi sana duniani zinafanyika kwenye mitandao sasa kama matapeli bongo wamezidi kamwe hatutaweza kuendelea kibiashara na kinamna yoyote!

aksanteni

Mkuu mimi ningeshauri kama post number 16 kwani ni mawazo mazuri lakini kwa freelander utakapotaka kuiza itakusumbua wabongo wanaangalia fuel consumption sana na wanaogopa gari zinazozidi cc 2000.
 
Vipi bei za scania 93H ,M horse power 280, 250 bei ni ngani pamoja na 113H horse hp 360
 
Back
Top Bottom