Magari yamegongana Iwambi Mbalizi Mbeya, moja imewaka moto

Ingefaa serikali kufanya upanuzi wa barabara ya iwambi to sinai then wapasue mlima mpaka relini ili kuwe na barabara za malori na gari ndogo,huo mteremko mara zote malori ndo chanzo kwa kufeli break,bora yakawekeanage gingi yenyewe kwa yenyewe huko
 
Sasa hapo ni sehemu ya hamashauriya wilaya ya Mbeya (Mbeya vijijini) na sio Mbeya city council. Mbona Dar kuna maeneo nyumba hazitamaniki? milango ya vyoo ni magunia, choo hakina paa, mvua zikinyesha mnaokota kambale chini ya uvungu, huku mkipishana na misafara ya vinyesi vichochoroni.
 
Huo mlima Nimepita mara kadhaa . Ni sehemu inahitaji umakini sana , dreva akiondoa umakini wa uendeshaji na kuangalia usalama wa gari yake lolote linaweza kutokea. Hio lori inaonyesha imeshindwa kupanda mlima ikarudi nyuma na kugonga lori ya nyuma yake
 
Ni sehemu mbaya tu. Badala ya kuleta wahandisi wanaenda walokole na wachawi. Malori kujengewa njia yale itasaidia sana.
HII AJALI HAIJASABABISHWA NA HALI YA MLIMA ULIOKO PALE ......KUMBUKA GARI IMETOKEA TUNDUMA UELEKEO WA DAR MEANS THAT IMETOKEA SONGWE IFISI HUKO MBALIZI TOWN NA KUJA KUPANDA MLIMA .... KAMA ILIGONGA MAGARI MENGINE HUKO NYUMA MAANAAKE KUANZIA KULE MBALIZI AMBAKO HAMNA MLIMA NDIPO IMEKUJA KUPANDA MLIMA IKAISHIA NYUMA YA ROLI MWENZIE...
 
ilo eneo kuna jambo la siri la kiroho zaidi lina mwaga sana damu tena mara kwa mara cc@mshanajr mkuu hebu tufanyie ka utafiti.
 
Chukua jembe kakwangue basi
Acha masikhara watu wanapotoa ushauri wenye maana unajua kuwa kila mwezi ajali tatu mpaka tano huwa zinatokea katika huu mlima vikiambatana na vifo vya watu?

Mimi mwenyewe, mtoto wangu tumeshanusurika kufa hapo mlimani
 
Hiki kilima kikali au tuseme mteremko mkali wa Iwambi Mbalizi Mbeya umeshindikana kwa ajali,huwa muda mrefu haupiti bila ajali kutokea.

Leo imetokea ajali tena na Lori lililobeba shaba bila shaka kutoka zambia,limeteketea kwa moto baada ya kugongana na gari lingine.

Foleni iliyopo leo haijawahi kutokea tunduma Road yote imejaa malori nahisi km kama 10 na zaidi zimetwaliwa na foleni.

Huu mlima walokole wameenda sana kupiga maombi na hata machifu wanaendaga lakini hamna mabadiliko.
View attachment 1931251

Acha uongo wewe hakuna walokole walio wahi kuenda kupiga maombi pale zaidi ya waganga wa kienyeji na machifu na wachawi wengine, juzi kabla ya ajali kuna watu wanaozaniwa machifu walienda kutambika, siku mbili mbele ajali inatokea what fu** k this
 
Walienda kuweka majini mengine ya ajali many ways damu ya binadamu
 
HII AJALI HAIJASABABISHWA NA HALI YA MLIMA ULIOKO PALE ......KUMBUKA GARI IMETOKEA TUNDUMA UELEKEO WA DAR MEANS THAT IMETOKEA SONGWE IFISI HUKO MBALIZI TOWN NA KUJA KUPANDA MLIMA .... KAMA ILIGONGA MAGARI MENGINE HUKO NYUMA MAANAAKE KUANZIA KULE MBALIZI AMBAKO HAMNA MLIMA NDIPO IMEKUJA KUPANDA MLIMA IKAISHIA NYUMA YA ROLI MWENZIE...
Unaumiza macho. Matumizi mabaya ya herufi kubwa
 
Back
Top Bottom