Third Eye
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 373
- 210
Happy [HASHTAG]#NyerereDay[/HASHTAG] everyone,
Katika mastory town nimekutana na hii hoja 'Magari ya akina dada/wanawake huwa na makorokoro, vitu vingi vingi kama vile viatu pea nyingi nyingi (heels na mmasai havikosekani), mikoba, mitandio, pengine makabrasha ya kazi na vingine vingine vingi karibu wakati wote'.
Nakiri kua hakukuwa na utafiti wowote uliofanyika, ni moja ya vile vitu ambavyo watu wana observe tu. Je upi mtazamo wako katika hili? Unadhani kuna ukweli wowote? Kama ni kweli je unadhani ni kwanini?