Hajui kuna Amarok na puma huyu.
niambie mkuu? habari ya siku mbili tatu.
mi sina mkuu ila nikilala huwa naota naendesha landd rover 110 ser blaser.
unajua alikununulia cube siyo kwamba hana pesa bali alijua utajjimudu mafuta.
hii gari huwa siipendi kuliko magari yote, hata kuiangalia tu huwa siipendi kabisa. sijui kwanini.
Wewe kilaza kweli nyote hamna uwezo hata wakununua baiskeli
Mie sitaki gar ya kunila aninunulie scania ya biashara nitanunua.cube badae
Chukua hii
Wewe kilaza kweli nyote hamna uwezo hata wakununua baiskeli