EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Kweli huna akili kabisa unajua kuna madereva wangapi as we speak tena vijana wenye miaka 25+ mbele ya utumishi? So watalipwa bila kazi for all those years?Yanaondolewa yote iwe kwanada au kwa vinginevyo..
Tutakachookoa ni kikubwa kuliko hasara unayoizungumzia wewe..
Madereva wakistaafu hakuna ajira mpya,wengi wa madereva ni WA mkataba kwa hiyo watalipwa Chao na wataondoka..
Iliwesekana kwa wahudumu na walinzinsembuse hili?
Kwamba watalipwa bila Kazi? Kwa hiyo waliajiriwa kukaa tuu au? Mbona unaongea upuuzi..Kweli huna akili kabisa unajua kuna madereva wangapi as we speak tena vijana wenye miaka 25+ mbele ya utumishi? So watalipwa bila kazi for all those years?
Mambo mengine kama hujia usichangie, we mpigadebe wengine tupo kama watendaji tunakaaka waajiri wako kuwapamawazo usione tunafanana kwasababu tunabishana humu jamvini
Gari service ya kawaida ya kumwaga oil ya engine na gearbox na kubadili oilfilter gharama inakuja si chini ya 500k.
Service Cruiser VDJ200 V8
Oil filter 1pc 40,000
Diesel filter 1pc 70,000
Engine oil 10w30 12liter 270,000
Hapo inakuwa 380,000
Hiyo ni service kawaida, ukifanya service kubwa ongezea
Ac filter 1pc 80,000
Air filter 1pc 120,000
Gearbox oil WS 8liter 300,000
Hapo inakuwa 500,000
Ukijumlisha zote ni 880,000
Kwa akili yako hayo magari yakiuzwa hawa madereva wataenda wapi au watapangiwa kazi gani? wawe wahudumu au walinzi?Kwamba watalipwa bila Kazi? Kwa hiyo waliajiriwa kukaa tuu au? Mbona unaongea upuuzi..
Status zako zinanisaidia Nini mimi? Na deal na contents zako we mbuzi joke..
Ndio maana Nimekwambia pengine ulikuwa kwenye kende za baba yako wakati serikali inawaondoa walinzi na wahudumu kwenye utumishi wa Umma..Kwa akili yako hayo magari yakiuzwa hawa madereva wataenda wapi au watapangiwa kazi gani? wawe wahudumu au walinzi?
Sasa nimeamini nabishana na kilaza kwa taarifa yako wapo hadi leo hadi watakapo PHASE OUT kwa kustaafu kama hujui uwe unauliza, hawaajiri wapya ila waliopo bado waposerikali inawaondoa walinzi na wahudumu kwenye utumishi wa Umma..
Kilaza ni wewe,nimekuuliza ulisikia maelezo ya serikali? Waziri alisema nini Kuhusu hilo jambo?Sasa nimeamini nabishana na kilaza kwa taarifa yako wapo hadi leo hadi watakapo PHASE OUT kwa kustaafu kama hujui uwe unauliza, hawaajiri wapya ila waliopo bado wapo
watauziana kati ya milioni 5 na haitazidi 20Haya magari yamegharimu 200M+ hadi 400M+ kwa bei ya "kuuziana" yatanunuliwa kwa nusu ya bei halisi (hasara).
Hata hili la waliotenguliwa uteuzi kwenye vyeo vya uteuzi kama wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara, Wakuu wa Mashirika ya Umama na Wakuu wa Wakala wa Serikali, kurudishwa kwenye nafasi zao za awali haliwezekani maana nafasi zimeshajazwa wage-bill itabaki palepale labda kwa wale watendaji ambao wakati wanateuliwa walitolewa sekta binafsi hao utumishi wao unakoma.
Nakwambia hata milioni 10 haitafika, solution ni wawe wanatangaza tenda za usafiri kama ilivyo kwa kampuni ya TBL yenyewe haina magari inakodisha tujitahidi upewe taarifa wakubwa wakiwa wanauziana hayo magari utuletee humu bei na mahali pa mnada!!
Wanaweza kupelekwa kwenye hospitali na mashuleni au kulipwa kiinua mgongo chao wakaacha kaziKwa akili yako hayo magari yakiuzwa hawa madereva wataenda wapi au watapangiwa kazi gani? wawe wahudumu au walinzi?
Naam mkuu wanataka kuuziana mabosi wenyeweSerikali ya bongo ina mpango wa kuuza magari ya serikali?
Huyu jamaa uchawa wake Kwa Hangaya umempofua macho anajiona naye ni Rais.Sasa nimeamini nabishana na kilaza kwa taarifa yako wapo hadi leo hadi watakapo PHASE OUT kwa kustaafu kama hujui uwe unauliza, hawaajiri wapya ila waliopo bado wapo