Magari ya abiria mwisho Tegeta Nyuki na Kimara

Magari ya abiria mwisho Tegeta Nyuki na Kimara

No kamavealivyosema magari ya mwenge mwisho makumbusho na magaro ya posts tandika na mbagala kuishia stesheni na mnazi mmoja Sumatra IPO kwa ajili ya kumkamua meananchi was kaeaida badala ya kuboresha usafiri wabunge wetuvwako busy na siasa
Hiyo keyboard yako ya moto!?!?
 
Hapo tegeta nyuki kuna stand ya kutosha mabasi kugeuza au mengine kupaki kusubiri abiria??? Mi ninavojua Bagamoyo mpaka Posta hakuna stand inayoruhusu mabasi kupaki na mengine kugeuza zaidi ya Makumbusho
 
nimemkumbuka ule msemo kiongozi anashuriwa na mke wake usiku asubuhi anasema.... nadhani ndiyo viongozi wa sasa
Mkuu mara ingine huwa tunawalaumu bure makundi ya waasi kama M23 kumbe wanakuwa na hoja nzito

Siku watanzania wakivuka kwenye mstari wa mwisho wa uvumilivu ndio tutaheshimiana
 
Back
Top Bottom