Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Yule jamaa aliyekuwa RC alisema eti hizi ni gari za wanawake.Dah kuna watu wana dharau jamani.Toyota ist
mwaka 2003
1290cc
bei 6m tu
je unahitaji kuuza gari yako?
Je unahitaji kununua gari nzuri?
Basi karibu sana jerry empire tukuhudumie
Tupo ilala dar es salaam
Tunafanya kazi siku zote za week
Wasiliana nasi
0623953036whatsapp/callView attachment 1578225View attachment 1578226View attachment 1578227View attachment 1578228View attachment 1578229
Nitumie namba ya whatsapEbu nitumie picha
karibu ununue na kuagiza toka japan kupitia sisi hakika hutojutiaKununua gari used bongo Ni stress
Ushanunua mara ngapi? Na zote ukaishia kupata stress?Kununua gari used bongo Ni stress
huenda anahadithiwa au alishakutana na madalali pasua kichwaUshanunua mara ngapi? Na zote ukaishia kupata stress?
Inawezekanahuenda anahadithiwa au alishakutana na madalali pasua kichwa
zipo mkuu karibuJerry una brevis?
Mara 3Ushanunua mara ngapi? Na zote ukaishia kupata stress?
Pole sana, mimi mpaka sasa ni mara 4, niliteseka mara 2 tu sababu bajet ilikuwa ndogo. Mara ya tatu na nne hata sikuenda na fundi, na vyuma vilikuwa poa kabisa mpaka unajuuta kuuzaMara 3