Inatia hofu kidogo kwamba kweli mwanafunzi wa Chuo kikubwa kama hicho tena cha mambo ya Fedha nk,Kisha mwanafunzi wake kuwa mfanyabiashara kama hiyo ya mamilioni bila hata ya kuwa na website yake mwenyewe na sio kuwa na link ya mwingine kama dalali ambayo itaeleza namna anavyofanya biashara.
Kama wewe ni mfanyabiashara kwanini usiwe na Yard yako,ili watu waje kuona magari uliyonayo na kama hauna ndio waweke order.
Na Je una Bima ya biashara?watu siku hizi wamekuwa wadadisi sana na lazima ujipange na chellenges hizi.
Au weka wazi,wewe ni mfanyabiashara au Dalali?