Magari moja kwa moja toka Japan

Magari moja kwa moja toka Japan

odg

Senior Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
190
Reaction score
28
Bei nafuu sana....

Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m

Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!! Or call 0768512931
NB tuna facility ya kulipia nusu then balance unalipia gari ikifika.
 
mkuu, TI ya mwaka gani kwa bei hiyo?
 
Carina Ti ya mwaka gan na cc ngap?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bei nafuu sana....

Toyota costa '93- 29m
Toyota corona premio-9.5m
Vitz 2000-8m
Ist 2002-12m
Kruger-19m
Prado '01-33m
Carina TI 7.5m

Na kadharika.... Serious buyers please ni-pm!!!

Nipe bei ya
-Verossa nyeusi-
-Wizard-
-Bighorn-
-Noah ya kizamani 4wd good looking-
Pia nipe utaratibu wa kuipata gari!
I mean how long?terms payment?
 
Nipe bei ya
-Verossa nyeusi-
-Wizard-
-Bighorn-
-Noah ya kizamani 4wd good looking-
Pia nipe utaratibu wa kuipata gari!
I mean how long?terms payment?

Mkuu ipo Noah ya mwaka 98 ni 10.5m. Terms ni kwamba you pay in advance then you get your car after 3wks!!
 
Mkuu ipo Noah ya mwaka 98 ni 10.5m. Terms ni kwamba you pay in advance then you get your car after 3wks!!
Kwahiyo hizo nyingine hazipatikani?nipe picha ya hiyo Noah!
Ntakuwekea my email kwa PM.
Pia nataka kujua nini dhamana yako kama nikitoa advance?
 
Kwahiyo hizo nyingine hazipatikani?nipe picha ya hiyo Noah!
Ntakuwekea my email kwa PM.
Pia nataka kujua nini dhamana yako kama nikitoa advance?

Zinapatikana mkuu sema inabidi nichek na ofis kuu huko japan. By kesho utapata bei zake na picha ya noah saiz natumia sim na cpo home. Kuhusu dhamana utapata document inayoonesha umelipa. Tunafungua ofis maeneo ya kinondon kuanzia tar 1may then kila kitu kitafanyika hapo!
 
Nipe bei ya
-Verossa nyeusi-
-Wizard-
-Bighorn-
-Noah ya kizamani 4wd good looking-
Pia nipe utaratibu wa kuipata gari!
I mean how long?terms payment?

Wizard ya '99 3000cc 11m, bighon 96 3100cc 18m. Verosa nyeusi kwa sasa hamna mkuu itabidi iwe baada ya mwez mmoja. Ila ipo dark puple ya '03 2000cc kwa 23m. Hapo vp mkuu? Nangoja pm yako!!!
 
Back
Top Bottom