Magari aina ya noah

Magari aina ya noah

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Jamani mie sina radio wala tv kutokana na kazi nazofanya za kusafirisafiri, kuna tetesi nimesikia eti gari aina ya noah zimeruhusiwa kuendelea na kazi ya usafirishaji abiria eti ni kweli?
 
We usisubutu kubeba abiria au uwe na laki 3 mfukoni papo kwa papo hawataki kesho sumatra coz unaweza ukawapa zamoto,sumatra wapo posta wanajifanya na wao ni abiria ukitangaza route na wao wanapanda ukifika mbele 2 unasimamishwa na trafik then unaambiwa geuka nyuma ukigeuka unakuta wale abiria wa3 sumatra utajuta kilo 3 ya rushwa lzm ikutoke kama hauna inapelekwa yard yono kuitoa sh laki 8 na kila siku ikikaa buku 10
 
ni kweli nimemsikia Mwakyembe akiagiza SUMATRA iweke utaratibu wa kuziruhusu noa zifanye biashara ya abiria. ameshangaa inakuaje pikipiki ya miguu miwili inaruhusiwa kubeba abiria na noa inakatazwa na wakati Tanzania tatizo la usafiri ni sugu
 
We usisubutu kubeba abiria au uwe na laki 3 mfukoni papo kwa papo hawataki kesho sumatra coz unaweza ukawapa zamoto,sumatra wapo posta wanajifanya na wao ni abiria ukitangaza route na wao wanapanda ukifika mbele 2 unasimamishwa na trafik then unaambiwa geuka nyuma ukigeuka unakuta wale abiria wa3 sumatra utajuta kilo 3 ya rushwa lzm ikutoke kama hauna inapelekwa yard yono kuitoa sh laki 8 na kila siku ikikaa buku 10

mie niko mikoani na wala sio huko dar, nashukuru kwa mpya hiyo.
 
nIMESIKIA LEO ASUBUHI kAMBI YA UPINZANI IKITOA WAZO HILO. inashangaza pikipiki na bajaj zinabeba watu lkn Noah eti hi hatarishi kweli?
 
Sidhani kwamba tatizo ni hatarishi, ninavyojua mimi ukitaka kufanya biashara yoyote lazima uwe na leseni. Kwa Dar kuna daladala ambazo zinalipia kodi kwa ajili hiyo, sasa itakuwaje wewe uje na noah yako ubebe abiria ambao wale wanaolipia kodi ndo wanapaswa kuwabeba?
 
we uko nje ya system,huenda wala hujaisoma vizuri mada ya jamaa!!!!
 
Hii Nchi haiwezi kuwa ya watu wanaojiamulia tu bila kufuata aidha taratibu, sheria au kanuni zilizowekwa na mamlaka husika, kila mara bunge linakaa kutunga au kuhuisha sheria mbalimbali. Nashangaa wao (wabunge) kuwa wa kwanza kulalamika wakati ndio wenye
mamlaka ya kutunga au kuhuisha sheria ambayo wanadhani haikidhi mahitaji. Kama wanaona inafaa basi waweke utaratibu wa hizo noah kulipia kodi. Sio mwingine alipie mwingine abebe abiria bure!
 
Nnachotaka kusema hapa Sumatra waendelee kukamata magari yote ambayo hayana route. Swala la kusema noah ni hatarishi nadhani sio sahihi ila noah hazilipii kodi kama daladala. Ndo mana sumatra wanazikamata. Na kama mwakyembe anataka kuziruhusu aweke tu utaratibu hautasikia malalamiko tena.
 
We usisubutu kubeba abiria au uwe na laki 3 mfukoni papo kwa papo hawataki kesho sumatra coz unaweza ukawapa zamoto,sumatra wapo posta wanajifanya na wao ni abiria ukitangaza route na wao wanapanda ukifika mbele 2 unasimamishwa na trafik then unaambiwa geuka nyuma ukigeuka unakuta wale abiria wa3 sumatra utajuta kilo 3 ya rushwa lzm ikutoke kama hauna inapelekwa yard yono kuitoa sh laki 8 na kila siku ikikaa buku 10

Watanzania tena wale tulio hohehahe.....tuna vijiba/viroho vya kikorosho......tunaumizana wenyewe kwa wenyewe....tena kwa kuwasaidia/kubeba MIJITU kama akina YONO.......yaani kuitoa gari yako TShs 800,000/-???...... I mean....geez!...hii si bure kuna mikono ya MAFISADI ndani ya hiyo YONO Auction Mart.....can 800,000/- be justified kweli?......hiyo gari yako utaikuta imepakwa rangi ya dhahabu au?....
......na mara nyingi unakuta magari yaliyochukuliwa kwenda kwenye yard ya YONO yanakuwa vandalised....damn!!
 
Jamani mie sina radio
wala tv kutokana na kazi nazofanya za kusafirisafiri, kuna tetesi
nimesikia eti gari aina ya noah zimeruhusiwa kuendelea na kazi ya
usafirishaji abiria eti ni kweli?

kweli wewe mtafutaji,huna redio wala tv lakini una noah.
 
Mie sikai sehemu moja yanii kutembea na tv kila uendako nyumbani kwangu ipo.

kwenye gari hakuna redio.?
ni kweli,serikali ipo ktk mpango wa kuziruhusu hz noah wapakie abiria kihalari..tofauti na ilivyokuwa zamani,mlivyokuwa mnapakia kimagendo.
 
Sidhani kwamba tatizo ni hatarishi, ninavyojua mimi ukitaka kufanya biashara yoyote lazima uwe na leseni. Kwa Dar kuna daladala ambazo zinalipia kodi kwa ajili hiyo, sasa itakuwaje wewe uje na noah yako ubebe abiria ambao wale wanaolipia kodi ndo wanapaswa kuwabeba?

Daladala maana yake nini? kwani mmiliki wa Noah hawezi kulipa kodi na NOAH yake ikawa daladala? Umeliweka kama vile HIACE au COASTER tu ndo daladala.
 
Yameruhusiwa kufanya nini? Mbona ajali nyingi za Noah kanda ya ziwa?
 
Back
Top Bottom