Magari aina ya noah

Magari aina ya noah

Huku Moshi zinachapa kazi kama kawaida ila ni za Askari na maafisa wao tu, mie nilitaka kuirudisha road baada ya kuona zipo ila mshikaji wangu ambae ni askari akanitonya...... Ningefanywa mtaji.
Kama vipi waturudishie uhalali tu
 
Back
Top Bottom