Magarasha kwaherini, on my way to Eritrea

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,661
Si kwa sababu ya kile kilichodaiwa kuwa serikali yao imeamuru wanaume kuoa angalau wanawake 2 kisa kuna uhaba wa wanaume, hiyo ni hoax! Eritrea waislamu ni kama 40% na the rest ni wakristo na watu wa imani nyingine, kwenye penal code yao ni kosa kuoa zaidi ya mke mmoja.

Mimi nitaenda ukweni Eritrea kukamata mchuchu wa maana, anaitwa Nesra (katoto ni hot, kakiongea kiingereza chake cha Kieritrea mimi hoi, nilikua sijui kupenda ndio nini, I'm caught red-handed!), ambaye tulikutana naye sehemu akanichanganya sana, hii tu ni kidokezo (mnaita screenshot) ya mazungumzo yetu WhatsApp:

Nesra: Hi my future husb

Mimi: Hi love, how have u been doing?
Nesra: I'm doing good, do u truly love me or were u pretending?

Mimi: I exceptionally love you, I had sleepless nights a couple of weeks ago, cause I've been dreaming of u! I hope you will be a great woman to me, Ist? It is like I can't live without you or else my brain will go mad

Nesra: I am a lovely woman, I hope you will take care of me

Mimi: Are you muslim?

Nesra: I am christian, I love Jesus

Mimi: How is that possible in a muslim country?

Nesra: No, Eritrea is not islamic country, there are many christians, don't like that?

Mimi:

Kwa kweli I've made up my way, sitorudi nyuma kamwe, Eritrea is the way to go, magarasha na michepuko ya MMU, wifi yenu ni Nesra, ndani ya Bongo.

NB: Hawa pichani wanamkaribia Nesra.

Eritrea.png
 
Kuna kaharufu fulani nimekanusa humu hasa waliotuletea wakoloni waarabu na wazungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom