Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,277
- 33,879
Picha wengine hatumjuiMAGAMBO MAKONGORO AMEFARIKI DUNIA
Kwa wanaomfahamu Magambo Makongoro amefariki leo hospitali ya muhimbili, maziko kesho Kisutu Alasiri.
Msiba upo nyumbani kwake Msasani opp na nyumba ya Mzee Rais Mwinyi Mikocheni.
Nimepokea taarifa hiyo hapo juu hivi punde.
Magambo tunajuana toka udogo wetu ni mtoto wa Chief Makongoro.
Tulipokuwa shule tukifanya picnic yeye akitupeleka Kigamboni nyumba ya mapumziko iliyokuwa ya Gavana wakati wa ukoloni na kwa wakati ule baada ya uhuru ikawa iko chini ya Mwalimu Nyerere kama Rais wa Tanzania.
Mwalimu alikuwa haitumii nyumba hii na Magambo yeye kwa ule usuhuba uliokuwa baina ya baba yake na Nyerere alikuwa mtoto wa nyumbani State House.
Nakumbuka siku zile hata jina hili la Ikulu lilikuwa bado.
Magambo alikuwa mwenzetu na mchezo wetu ulikuwa mmoja pamoja na Kleist na mdogo wake Ebby, Yusuf Zialor, Wendo Mwapachu, Bubby Bokhari, Christopher Faraj, Abdallah Mohamed Saleh (Tambaza), Abdul Mtemvu, Edward Makwaia (sasa Chief wa Siha), Abdallah Mgambo, Eyshe na Mariam Max, Erica Kisa, Janet Zebedayo, Haitham Rashid, Esther Mzena wenzetu wengine wengi siwakumbuki.
Wenyewe tukijiita Scorpions na wengi tulikuwa wanafunzi St. Joseph's Convenient.
Baadhi wemetangulia mbele ya haki.
Miaka ya kati Magambo alikuwa akifanya kazi hii kampuni Chick King sikumbuki jina vizuri Iko Mbezi wanafuga kuku.
Mara ya mwisho miaka michache nyuma mwezi wa Ramadhani tulikutana Masjid Ngazija alikuwa na Abraham Sykes.
Nakumbuka siku ile walinishambulia sana kwa kunichangia ati mie najidai sana na Msikiti Ngazija nauona kama mali yangu nikiwaona wao wanakuja kusali pale roho inaniuma.
Haya ndiyo yalikuwa mapenzi yetu tulikutana lazima tubwatizane huku tunacheka.
Nilipoteana na Magambo kwa muda hatujaonana.
Allah amsamehe na amtie Firdaus.
Amin.
Hata sisi tunafiwa pia.MAGAMBO MAKONGORO AMEFARIKI DUNIA

View attachment 3339866
Magambo Makongoro
Anatoa taarifa kama una mjua ...so kama humjui unapita kimya kimya ..... kwa ukisikilza matangazao ya vifo redio nayo huwa unachukia ...... we pita kimya kimya kama umesikiata matangazo ya vifo redioHata sisi tunafiwa pia.
Na hatuleti misiba mitandaoni.
Matatizo yenu na watu wenu wa karibu, msifikiri matatozo hayo ninya kila mtu.
Mnapopata misiba, siyo kwamba inamhusu kila mtu.
Leo ndio najua kumbe mkuu nawewe ni mmoja wetu. daah nikajua ni mako yule rc.wengi tulikuwa wanafunzi St. Joseph's Convenient.
Ni taatifa tu.Unaweza kutoa na inayokuhusu.Hata sisi tunafiwa pia.
Na hatuleti misiba mitandaoni.
Matatizo yenu na watu wenu wa karibu, msifikiri matatozo hayo ninya kila mtu.
Mnapopata misiba, siyo kwamba inamhusu kila mtu.
Ndugu punguza hasira kwa sababu pia ni hatari kwa afya. Ulichoandika kimekuvua nguo hadharaniHata sisi tunafiwa pia.
Na hatuleti misiba mitandaoni.
Matatizo yenu na watu wenu wa karibu, msifikiri matatozo hayo ninya kila mtu.
Mnapopata misiba, siyo kwamba inamhusu kila mtu.
Bora hata kilichonivua nguo.Ndugu punguza hasira kwa sababu pia ni hatari kwa afya. Ulichoandika kimekuvua nguo hadharani
Wewe ni mtanzania?Bira hata kilichonivua nguo.
Wengine hawajui ndugunzao kama wapo au hawapo, wamekufa au wako hai.
Wangine wameoigwa nondo vichwani wako ICU.
Ila kizee kimoja kinataka watu wake wakipata shoda ndio kila mtu asikitike
Saa hizi unaelekea Mpemba-mpazi au Inyonga mkuu?Bira hata kilichonivua nguo.